TAQEE.COM - Whois Information
ImamTaqee.Com
dSkyP22rf9Ayatullahil Udhma Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya
Kiislamu amesema kuwa sherehe za Nowruz ni fursa ya kueneza thamani za juu za utamaduni wa Mashariki katika nchi za Magharibi. Ayatullah Khamenei ameyasema hayo Jumamosi katika mkutano na Marais wa Iraq, Turkmenistan na Afghanistan walioshiriki katika sikukuu ya kimataifa ya Nouruzi mjini Tehran. Ayatullah Khamenei ameashiria njama zinazofanywa na baadhi ya madola makubwa kwa ajili ya kuzusha migogoro kati ya mataifa mbalimbali na kueneza madai ya kuwepo mgongano kati ya maslahi ya mataifa hayo na kusema: "Ukweli wa mambo ni kuwa si tu kwamba hakuna mgongano wowote kati ya maslahi ya mataifa hayo bali pia maslahi hayo yanafungamana na kushikamana." Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amempongeza Rais Mahmoud Ahmadinejad kwa kutayarisha sherehe ya sikukuu ya kimataifa ya Nouruzi mjini Tehran na kusema: "Sherehe hizi na kudumishwa kwake kunaweza kutayarisha mazingira mazuri ya kukurubisha pamoja zaidi mataifa ya eneo hili.
Taqee.com
To improve performance of WHOIS service and to prevent its excessive high-volume use by a single source, we implemented a randomly generated Access Code that must be entered before running a WHOIS request.
The Access Code in the box is provided in graphics format. It has letters which are generated randomly and the symbol images are distorted. The distorted symbols cannot be read by computer programs which are used for mass-collect email addresses and any customer information. Only humans can read the distorted symbols and pass the access code.
The Access Code improves performance of our services. It prevents excessive high-volume use by a single source.
The services that require Access Codes are:
Whois – after entering the correct Access Code you can run 10 WHOIS requests before you will be prompted to enter a new Access Code.
Site Info – you can run 25 Site Info requests before you will be prompted to enter an Access Code.
Trace Route - you can run 20 Trace Route requests before you will be prompted to enter an Access Code.
RBL Check - you can run 20 RBL Check requests before you will be prompted to enter an Access Code.
What’s my IP - Access Code is not required for this service.
NOTE: We may modify Access Code policy at any time without notice on this web page.