ImamTaqee.Com dSkyP22rf9Ayatullahil Udhma Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa sherehe za Nowruz ni fursa ya kueneza thamani za juu za utamaduni wa Mashariki katika nchi za Magharibi. Ayatullah Khamenei ameyasema hayo Jumamosi katika mkutano na Marais wa Iraq, Turkmenistan na Afghanistan walioshiriki katika sikukuu ya kimataifa ya Nouruzi mjini Tehran. Ayatullah Khamenei ameashiria njama zinazofanywa na baadhi ya madola makubwa kwa ajili ya kuzusha migogoro kati ya mataifa mbalimbali na kueneza madai ya kuwepo mgongano kati ya maslahi ya mataifa hayo na kusema: "Ukweli wa mambo ni kuwa si tu kwamba hakuna mgongano wowote kati ya maslahi ya mataifa hayo bali pia maslahi hayo yanafungamana na kushikamana." Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amempongeza Rais Mahmoud Ahmadinejad kwa kutayarisha sherehe ya sikukuu ya kimataifa ya Nouruzi mjini Tehran na kusema: "Sherehe hizi na kudumishwa kwake kunaweza kutayarisha mazingira mazuri ya kukurubisha pamoja zaidi mataifa ya eneo hili. Imamtaqee.com~Site InfoWhoisTrace RouteRBL Check
maskani ya uchambuzi yakinifu jukwaahuru uchambuzi maskani yakinifu watu idadi posts loliondo zaidi soma view filed ccm katiba yasivuruge amani mabadiliko yetu msumbiji jeshi poulsen litakaloivaa lake kikombe yazaliwa upya wanywa ataja wakenya habari cha kwa yaivuruga mpya michezo siasa simba feed read sportsquare Jukwaahuru.com~Site InfoWhoisTrace RouteRBL Check